Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa
Kwanza Mzalendo Jaji Mark Bomani akibadilishana uzoefu na Wajumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika ofisi ya
Tume jijini Dar es Salaam jana (Jumamosi, Agosti 3, 2012). Kulia ni
Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph Warioba na kulia ni Mjumbe wa Tume Dkt.
Salim Ahmed Salim.
August 6, 2012
Jaji Bomani azungumza na wajumbe wa tume ya Katiba
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Baadhi
ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakifuatilia maelezo ya Jaji
Mark Bomani aliyekutana nao kwa lengo la kubalishana uzoefu kuhusu
Katiba. Mkutano huo ulifanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam
jana. Picha na habari by mrokin blog
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!