Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (katikati) akiwa katika Picha ya pamoja
na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve Gannon
(kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells wakati wa
tafrija maalum ya kumuaga Wells iliyofanyika Kiwanda cha SBL mjini Moshi
hivi karibuni.
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wapili kushoto) akiwa katika Picha ya
pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve
Gannon (wapili kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells
(kushoto) na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL Teddy Mapunda wakati wa
tafrija maalum ya kumuaga Wells iliyofanyika Kiwanda cha SBL mjini
Moshi hivi karibuni.
Mama
Tundu Pinda akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa SBL aliyemaliza
muda wake, Richard Wells wakati wa tafrija ya kumuaga iliyofanyika
kiwanda cha SBL mjini Moshio hivi karibuni.
Mama Tunu Pinda akisalimiana na Mkurugenzi mpya wa SBL, Steven Gannon
Richard
Wells (kushoto) akiwa akitika vazi la jadi la jamii ya Wamasaa pamoja
na Kisu jamii ya sime alilokabidhiwa na Wafanyakazi wa SBL mjini Moshi
wakati walipomuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake na kumkaribisha
Mkurugenzi Mpya Steven Gannon.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Bia Serengeti Mjini Moshi wakipiga picha na viongozi wao.
Mke
wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wapili kushoto) akiwa katika Picha ya
pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Steve
Gannon (kulia) na Mkurugenzi aliyemaliza muda wake Richard Wells
(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dr. Msengi
Mkurugemzi
wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda akitunzwa na Meneja Miradi
Endelevu na Uwajibikaji wa SBL, Nandi Mwiyombela kwa kutoa burudani ya
aina yake wakati wa tafrija hiyo ya kumuga Richard Wells.
Vijana wa Kalunde Band wakiwa kazini kutoa burudani
Hapa
kazi tu.....Mkurugemzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapundana
Mkurugenzi wa Masoko Epraim Mafuru wakiimba wakati wa tafrija hiyo ya
kumuaga Richard Wells.
Richard Wells akicheza mziki na Wafanyakazi wa Kiwanda cha SBL mjini Moshi wakati wa tafrija ya kumuaga.
Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa SBL, Steven Gannon akisakata rumba na wafanyakazi wa SBL Kiwanda cha Moshi.
Wafanyakazi
wakiwa wanaendelea na vitu vya hapa na pale wakati wa tafrija hiyo ya
mkumuga Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake Richard Wells mjini
Moshi.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!