Tanzanian Muslim Community Washington Metropolitan (TAMCO) jana
Jumapili katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifuturisha pamoja na
kuwaombea Dua Jamaa wote waliotangulia mbele ya haki.
Waumini wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Jumuiya ya
Kiislamu, katika ukumbi wa Hillandale Local Park, New Hampshire Avenue,
Silver Spring Maryland nchini Marekani.
Waumuni wakisoma dua pamoja na futari hiyo ilifanyika katika
ukumbi wa Hillandale Local Park New Hampshire Avenue, Silver Spring
Maryland. Siku ya Jumapili Agosti 5, 2012.
CHANZO: http://www.globalpublishers.info/




0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!