Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na wabunge Sylvester Kasulumboyi wa Maswa
Mashariki (kulia) na Mbunge wa Bukombe, Profesa Kulikoyela Kahigi kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Augost 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya
Yanga ambao walipeleka Kombe la Michuoano Kagame Bungeni Augost 6,
2012. Kushoto kwake ni Mama Fatuma Karume. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!