Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) akijadiliana jambo na Balozi Carlton Masters (kati) kutoka Marekani ambaye ni mmoja wa wanahisa wa Hoteli ya Kitalii ya Mount Meru ya jijini Arusha katika Mkutano wa Tisa wa Sullivan uliomalizika jana jijini Malabo, Equatorial Guinea. Kushoto ni Seneta Paul Millen kutoka nchini Jamaica.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiwa na Waziri Mkuu wa Swaziland Sibusiso Dlamini wakifuatilia kwa pamoja hotuba ya ufungaji wa Mkutano wa Tisa wa Sullivan iliyotolewa na Rais wa Jmhuri ya Equatorial Guinea Mhe. Obiang Mbasogo jijini Malabo, Equatorial Guinea.
August 26, 2012
MKUTANO WA TISA WA SULLIVAN WAMALIZIKA JIJINI MALABO, EQUATORIAL GUINEA
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!