YULE MISS TANZANIA ASIYECHUJA AMEAMUA KUFATA NYAYO ZA WASANII WENZAKE WANAOPATA WATOTO WAKIWA NJE YA NDOA.
K-LYN ALIAMUA KUACHANA NA MUZIKI NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO AMBAYO YAMEDUMU KWA MUDA MREFU NA YULE JAMAA..... SI UNAMJUA?
HIVI SASA K-LYN AMEHAMA NCHI KWA MUDA ILI KULEA MIMBA YAKE NA MENGINE YATAFUATA BAADA YA MTOTO KUZALIWA...
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!