StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 5, 2012

HAYA NDIO MABANGO YENYE KAULI CHAFU, NA PICHA MBAYA KATIKA SIASA MAREKANI WAKATI HUU WA KAMPENI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends Mabango yote yanaonesha ishara yenye lugha kali na ya picha, ambayo imekuwa ikileta maoni tofauti kutoka kwa watu katika eneo hilo.
picture 7

Bango la kwanza kubwa lipo nje ya duka la pikipiki linalomilikiwa na Robert Sullivan, mtu anayeshukiwa kuwa ndiye aliyebandika mabango yote. picture 6

Hili ni bango jingine lilipo katika mji mdogo wa Hanson, nung'uniko la msichana mdogo anayedhaniwa kuwa na umri usiozidi miaka 6 akionyesha ishara ya kidole, labda kwa Rais Barack Obama kwa uzembe wake katika madai ya fedha.


Based on HuffPost Pollster charts and analysis


Romney

191
ELECTORAL VOTES

Obama

247
ELECTORAL VOTES

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat