
Waziri mkuu wa zamani wa Ethiopia, Meles Zenawi anataraji kuzikwa kesho Jumapili sep 2. Mjini Addis Ababa.
Waziri mkuu huyo aliyefariki mjini Brussels, Agosti 20 akiwa na umri wa miaka 57 ameacha mke na watoto watatu

Mjane mkwe wa Meles Zenawi
Share it with your friends!
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!