Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
"Niko tayari kuzungumza kuhusu kila kitu. Nimejibu maswali kwa kina, lakini usiniulize chochote kuhusu Cristiano. Unapaswa kulijua hilo. Tafadhali, usijaribu kusisitiza"
"Mimi sitaki kwenda kuzungumzia lolote kuhusu hilo", alijibu Mourinho alipohojiwa na AS juzi Alhamisi kuhusu maoni yake juu ya madai ya Ronaldo.
Ronaldo, 27, alikiri kuwa ana ‘huzuni’ wakati alipoulizwa kwa nini hakushangilia mabao yake mawili katika ushindi wa Real Madrid wa mabao 3-0 dhidi ya Granada wiki iliyopita.
Nyota huyo akakataa kubainisha kinachomsibu kiasi cha kukosa furaha, kabla ya kufichua kwamba ni sababu ya ‘kitaalam’ zaidi na sio binafsi kama ilivyofikiriwa na akaongeza kuwa: "Watu wa klabu yangu wanajua kwanini sina furaha.
"Kwamba nina hisia za huzuni na kwa haraka huzuni hiyo imechochea kuishi bila furaha," alisema Ronaldo na kuongeza; "Natuhumiwa kuwa nataka pesa ndio maana nikatamka haya, lakini nawahakikishia siku moja itathibitika kuwa pesa sio sababu katika hili."
September 8, 2012
MOURINHO ALONGA SIRI YA C.RONALDO KUKOSA RAHA REAL MADRID
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!