Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Mjasiliamali wa kutengeneza keki, Elizabeth Chami (kulia)akimuonyesha Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo baadhi ya bidhaa anazozalisha kutokana na mashine aliyowezeshwa awamu ya kwanza wakati wa uzinduzi wa program hiyo awamu ya pili iliyofanyika TBL Dar es Salam.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa program ya Safari Wezeshwa awamu ya pili iliyofanyika katika Ukumbi wa TBL jijini Dar es Salaam .Kushoto ni jaji wa program hiyo,Joseph Migunda kutoka kampuni ya TAPBDS.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo (kulia) na Joseph Migunda kutoka kampuni ya TAPBDS wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa program ya Wezeshwa awamu ya pili iliyofanyika TBL Dar es Salaam.
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo(kulia) na Mjasiliamali wa kutengeneza keki, Elizabeth Chami wakionyesha picha ya mashine ya kutengenezea keki aliyowezeshwa Dada huyo katika program hiyo awamu ya kwanza wakati wa uzinduzi wa program hiyo awamu ya pili iliyofanyika TBL Dar es Salaam.
October 19, 2012
AWAMU YA PILI YA PROGRAMU YA WAJASIRIAMALI YA SAFARI LAGER WEZESHA YAZINDULIWA
Millionfortune.com
JAMII
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!