Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
WAANDAMANAJI WAKIWEMO WATUMISHI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA AMBAYE ALIMWAKILISHA WAZIRI WA WA AFYA NA USTAWI WA JAMII HAYUPO PICHANI.
MWAKILISHI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA LINDI FORTUNATA RAYMOND AKITOA UFAFANUZI KWA MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA WAKATI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO HUO KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI KITAIFA IMEFANYIKA MKOANI LINDI KATIKA VIWANJA VYA ILULU.
.MENEJA WA KANDA YA KUSINI WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA JOYCE SUMBWE AKIMKABIDHI ZAWADI MKUU WA MKOA WA LINDI BAADA YA KUTEMBELEA BANDA LA MFUKO HUO.
.
October 11, 2012
NHIF Lindi Waadhimisha Siku Ya Afya Ya Akili Duniani
Millionfortune.com
JAMII
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!