Mkurugenzi
Mkuu wa BancABC, Boni Nyoni (kushoto) na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania(TFF), Angetile Hoseah wakibadilishana mkataba wa miaka mitatu ya
udhamini wa mashindano ya mpira wa miguu utakaotambulika kama BancABC SUP8R
katika Ukumbi wa TFF Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Angetile Hoseah (kulia)
akisaini mkataba wa miaka mitatu wa udhamini wa BancABC wa mashindano ya SUP8R
yanayotarajiwa kuanza rasmi 4Julay2012.Mkataba huo ulifanyika TFF Dar es Salaam
leo.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa BancABC, Boni Nyoni
Mkurugenzi
Mkuu wa BancABC, Boni Nyoni (kushoto) akisaini mkataba wa miaka mitatu wa
udhamini wa BancABC wa mashindano ya SUP8R yanayotarajiwa kuanza rasmi
4Julay2012.Mkataba huo ulifanyika TFF Dar es Salaam leo.Kulia ni Katibu Mkuu
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Angetile Hoseah.
Katibu Mkuu wa TFF akizungumza na waandishi wa habari
Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa BancABC,Mwalimu Zuberi akizungumza na waandishi wa habari
Katibu akizungumza
Waandishi wakisikiliza
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!