Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Makamu wa Mwenyekiti wa Chuo kipya cha Nelson Mandela
‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and Technology’, Prof.
Burton Mwamila, wakati leo Julai 27, 2012 akitembelea mazingira ya Chuo
hicho kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni kilichopo
Jijini Arusha. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais
Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Asha Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mwilongo na Makamu
Mwenyekiti wa Chuo cha Nelson Mandela ‘The Nelson Mandela African
Instute Of Science and Technology’, Prof. Burton Mwamila, kwa pamoja
wakifurahia mtandao wa mawasiliano kwa njia ya Video unaowawezesha
wanafunzi kuonana na kuzungumza na kuchangia masomo kutoka sehemu
tofauti ndani na nje ya mkoa huo wa Arusha, wakati Makamu alipofika
chuoni hapo leo Julai 27, 2012 kutembelea na kukagua chuo hicho
kinachotarajia kuanza kusajili wanafunzi hivi karibuni. Makamu wa Rais
ameteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chuo cha Nelson
Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and Technology’,
Prof. Burton Mwamila, wakati akimfafanulia kuhusu kazi za maabala mpya
inayoandaliwa katika Chuo hicho wakati Makamu alipofika chuoni hapo leo
Julai 27, 2012 kutembelea na kukagua chuo hicho kinachotarajia kuanza
kusajili wanafunzi hivi karibuni. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais
Jakaya Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho. Kushoto kwake ni mkewe Mama
Asha Bilal.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chuo cha Nelson
Mandela ‘The Nelson Mandela African Instute Of Science and Technology’,
Prof. Burton Mwamila, kuhusu matuzmi ya baadhi ya majengo yaliyopo
katika Chuo hicho, wakati Makamu alipofika chuoni hapo leo Julai 27,
2012 kutembelea na kukagua chuo hicho kinachotarajia kuanza kusajili
wanafunzi hivi karibuni. Makamu wa Rais ameteuliwa na Rais Jakaya
Kikwete, kuwa Mkuu wa Chuo hicho.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!