Rais
wa Ghana, John Atta Mills, aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa
ya koo amefariki Dunia leo katika Hopitali moja mjini Accra.
Taariya ya Ikulu ya Ghana inasema Mills aliyekuw ana umri wa miaka 68 amefariki muda mfupi baya ya kupelekwa Hospitalini.
“Nihuzuni kubwa miooyoni mwetu …..kutangaza habari hizi za kusikitisha juu ya Kifo cha Rais,” ilisema sehemu ya Ripoti hiyo.
Mills amekuwa Rais wa Ghana kwa miaka 10 sasa Atta Mills had ruled the West African country since 2009.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!