Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
|
Wachezaji wa timu ya Liverpool
wakijadili jambo wakati wa mpambano wao wa fainali ambapo wamefanikiwa
kuchukua ubingwa wa Serengeti Fiesta Soccer Bonanza katika mchezo wao
uliofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
mchana huu. Bonanza limepamba
moto ambapo kumekuwa na burudani mbalimbali zikishirikisha mpira wa
miguu kutoka kwa timu za mshabiki wa timu mbalimbali za Ulaya ambazo ni
Manchester United, Liver Pool, Chealsea, Arsenal, Baeryen Munichen na
Manchester City, Barcelona na Real Madrid.
|
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!