July 25, 2012
NDEGE YA PRECISION AIR YAPATA AJALI KIGOMA...!
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Ni siku chache tu toka imetokea ajali ya
Meli ya MV SKAGI iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Zanzibar,
haya tena leo mchana tukapokea taarifa ya ajali ya Basi la SIMBA MTOTO
kugongana uso kwa uso na Basi la DAR EXPRESS, na muda si mrefu
tumepokea taarifa ya ndege ya PRECISION AIR iliyotokea huko mkoani
KIGOMA na kwa mujibu ya msimuliaji wetu aliyekuwa eneo la tukio
ametujuza kuwa ndege hiyo ya abiria iliyokuwa katika harakati za kutua
uwanja wa ndege wa kigoma ndipo lilipotokea tatizo hilo lisilokuwa la
kawaida la kupasua matairi mawili, na mpaka sasa bado hatujapata taarifa
za majeruhi wala kupoteza maisha kwa yeyote aliyekuwa kwenye ndege
hiyo...
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!