Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mqwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012 |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza,
Julai 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na wajumbe wa Kamati
Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza,
Julai 12, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha
maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology
Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano
wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue
unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!