Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na makamu wa Rais wa
Afrika ya Kusini Kgalema Motlante(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam
Jana jioni.Kulia nia Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Makamu wa Rais wa
Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais
jana jioni.kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!