Warembo
wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012,
siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club, wakipozi kwa picha
ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika
kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai 03,
2012. Picha zote na Mtandao wa www.sufianimafoto.blogspot.com
July 3, 2012
WAREMBO WA MISS VYUO VIKUU TANZANIA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA LEO, KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Millionfortune.com
BURUDANI
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget