Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Katibu wa TAMICO tawi la GGM Wilaya ya Geita na Kanda ya Ziwa, Shigela Alyce (aliyeshika kinaswa sauti ) akiwaongoza viongozi mbalimbali wa vyama vya wafayanyakazi pamoja na wafanyakzi kuimba wimbo wa solidarity forever (Mshikamano) mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara kupinga sheria mpya ya mafao ya SSRA , mkutano ambao ulifanyika mjini Geita kwenye uwanja wa Magereza
Wafanyakazi mbalimbali wa kampuni za mgoni wa GGM wakiwa mabango katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Magereza mjini Geita
Wafanyakzi wa migodini na sekta binafsi wakimsikiliza Katibu wa TAMICO Wilaya ya Geita, Shigela Aloyce, hayupo pichani , wakati akihutuibia kwenye uwanja wa Magereza Geita Jumamosi, kupinga sheria ya mafao ya SSRA
August 7, 2012
Geita gold Mine: Wafanyakazi waungana kupinga sheria mpya ya mafao ya SSRA- II
Facebook Blogger Plugin by JustNaira.com | Get Widget
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!