Mtunzaji Kumbukumbu na Mhasibu Abbas Mnyeto wa Wizara ya Fedha
wakiwasaidia wazee wastafu upande wa Kilimo juu ya taratibu za kupata
pesheni kwa watumishi wanapostaafu jana mjini Dodoma walipokuwa kwenye
banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima nanenane.
Afisa Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa
Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Andrew Dayson (kushoto) akiwasidia
Maafisa Polisi kujua kiwango michango yao mbalimbali ambayo
wamekwishachangia tangu waingie katika utumishi wa umma wakati
walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya
nanenane jana mjini Dodoma.
Kaimu Afisa Uhusiano wa wa
Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Hawa Kikeke(kushoto) na
Afisa Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF)
Andrew Dayson (wa pili kutoka kushoto) wakiwasaidia Maafisa
wa Polisi juu ya kupata taarifa za michango yao mbalimbali ambayo
wamekwishachangia tangu waingie katika utumishi wa umma wakati
walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya
nanenane jana mjini Dodoma.
Afisa Uhusiano wa Chuo Mipango Dodoma
Sarah Mmari (kushoto) akimwelimisha Yulis Otto (kulia) utaratibu wa
kujiunga na masomo katika Chuo hicho wakati mzee huyo alioptembelea
banda la Wizara ya Fedha jana katika maonyesho yanayoendelea mjini
Dodoma.

Afisa Masoko kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT) Said
Mkomwa(kulia) akiwaelimisha wananchi faida za kuwekeza katika mifuko
iliyoanzishwa na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania jana mjini Dodoma
walipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima
nanenane.
Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana Emilia Mkubulo(kulia) akimwelimisha mmoja wa wananchi faida za kununua hisa jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonyesho ya wakulima nanenane.
Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pesheni
kwa watumishi wa umma (PSPF) Kahenga Maulid( wa pili kutoka kulia) na
Afisa Malipo ya Pesheni wa Mfuko wa Pesheni kwa watumishi wa umma (PSPF)
Andrew Dayson (wa pili kutoka kushoto) wakiwasaidia watumishi
wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Monica Kung’aro (kushoto) na Mary
Kulwijila(kulia) juu ya kupata taarifa za michango yao mbalimbali ambayo
wamekwishachangia tangu waingie katika utumishi wa umma wakati
walipotembelea banda la Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya
nanenane jana mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!