StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 12, 2012

Lowasa akabidhi madawati 500 shule ya Msingi Minazi Mirefu Dar es Salaam

Tweeted this Like this, be the first of your Friends


Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akikata utepe wakati wa makabidhiano ya madawati 500 kwa shule ya msingi minazi mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akimkabidhi cheti Mkurugenzi wa Mahusiano ya Serikari wa Kampuni ya African Barrick Gold, Emmanuel Ole-Naiko wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 500 katika Shule yua Msingi Minazi Mirefu iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam



Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika hafla hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat