Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kusherekea kidonge cha milioni mia 500 ambacho kimepunguza ugonjwa wa malaria kwa asilimia 45,uliofanyika katika Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es salaam leo na kushirikisha wadau mbalimbali wa afya.
Baadhi ya wadau kutoka taasisi za Afya wakiwa katika mkutano huo leo wakushekea kidonge cha milioni mia 500
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Afya mara baada ya kumalizika kwa mkutano
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!