StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 11, 2012

YULE MAMA WA MAPACHA 4 AWANYOA KWA NAMBA WANAWE ILI WAALIMU WATAMBUE

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
Mama wa mapacha wanne aamua kuwanyoa wanae kwa staili ya namba ili kuwawezesha walimu kuwatambua


Tan Chaoyun ni mama wa mapacha wanne ambao wamefanana sana kiasi cha kumchanganya hata yeye mwenyewe. Imefikia wakati mmoja wao anaweza fanya kosa lakini akajikuta anamuadhibu mwingine kwa jinsi walivyo fanana. Mama huyo aliongeza kuwa ni afadhali yake ila baba yao ndiyo hawezi kabisa kuwatofautisha.

Hata shuleni walimu wamekuwa wakipata tabu sana kuwatofautisha.
Ila kuwasaidia walimu katika hilo, mama huyo aliamua kuwanyoa watoto wake kwa staili ya namba 1 hadi 4 ili kuwarahisishia walimu kuwatambua watoto hao

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat