StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

July 3, 2012

RC mkoa wa Mara awapongeza warembo wa Mkoa wake

Tweeted this Like this, be the first of your Friends
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa amewaaliki washindi wa shindano la kumsaka Mrembo wa Mkoa wa Mara Ofisini kwake na kuwapongeza kwa kuwatakia Mashindano mema kwa hatua inayofuta ya Kanda ya Ziwa itakayoshirikisha jumla ya Mikoa (6) ambayo ni Mara, Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita na Simiyu. Warembo hao ni Miss Mara namba moja Aisha Bakari, No 2 Eugenia Fabiano na No 3 Jacqueline Mzava
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa akizungumza na warembo ofisini kwake.
 Picha ya pamoja ilipigwa na viongozi
 Mkuu wa Mkoa wa Mara Mh John Tuppa na warembo.
Mtaribu wa shindano hilo Godsos Mukama akila pozi na warembo wake

Source: Father Kidevu
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat