MAJERUHI AKIKIMBIZWA ICU KUPATA HUDUMA ZAIDI
GARI ZA JESHI LA POLISI ZIKIWA ZIMEPAKI NJE YA CASUALITY KCMC ASUBUHI HII BAADA YA MAJERUHI HAO KUFIKISHWA HOSPITALINI HAPA
Ajali hiyo mbaya imeripotiwa kutokea eneo la himo asubuhi hii na imehusisha gari aina ya canter. Habari zaidi tutazipata baadae baada ya madaktari wa KCMC na polisi Mkoa wa kilimanjaro kutoa taarifa rasmi.
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!