Tweeted this
Like this, be the first of your Friends

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika swala ya Magharibi kabla ya
kushiriki katika futari aliyoandaliwa na wananchi wa Tanga jana Agosti
15, 2012 jijini Tanga.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia
Mjema katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar
es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi kabla ya kuondoka kuekelea
Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini Maputo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilali aliyemsindikiza katika uwanja wa ndege wa ,kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Agosti 16, 2012 muda mfupi
kabla ya kuondoka kuekelea Msumbiji kuhudhuria mkutano wa SADC jijini
Maputo

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi mpya wa India hapa nchini
Mhe Debnath Shaw baada ya kupokea hati zake za utambulisho leo Agosti
16, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!