StatsCrop - Free website analyzer!

Ads 468x60px

AddToAny

Lorem

Social Icons

September 17, 2012

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MISUNGWI

Tweeted this Like this, be the first of your Friends

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kifungua Ofisi ya Msajili wa Ardhi ya Kijiji Cha Matale wilayani Misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15,2012. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza MhandisI Evarest Ndikilo na wapili kulia ni Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mmoja wasanii waliotumbuiza katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa mpira wa misungwi akiwa katika ziara ya mkoa wa Mwanza Septemba 15, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Web Directories
PageHeat