Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
BARUA HII IMEANDIKWA NA MWENYEKITI ILI KUSISITIZA WANANCHI WA ENEO LAKE KUHESABIWA!
August 31, 2012
WASANII WA BONGO FLAVA NA CLOUDS FM WATOA MSAADA MARA LEO
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
<
Baadhi
ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva wakiongozwa na
baadhi ya Wafanyakazi wa Clouds Media Group wakiwa katika picha ya
pamoja jioni ya leo na watoto wanaolelewa na kituo cha watoto
Yatima/waishio katika mazingira sambamba na walezi wao kiitwacho Jipe
Moyo Center,kilichopo kata ya Mwisenge,Musoma mjini mkoani Mara.Kampuni
ya Clouds Media Group ikishirikiana na wasanii mbalimbali ambao jioni
ya leo watatumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,wametoa
msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa ajili ya kituo hicho
chenye jumla ya watoto 17 waliopo kituoni hapo.
Msanii
mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Prof Jay akishiriki kukabidhi sehemu
ya msaada kwa niaba ya wasanii wenzake kwa baadhi ya watoto wanaolelewa
na kituo hicho,kushoto ni Ofisa Mahusiano wa Clouds Media Group
akikabidhi pia sehemu ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo kwa walezi
wa kituo hicho,kilichopo Musoma Mjini.
Mratibu
Msaidizi wa kituo hicho cha Jipe Moyo Center,Bi.Imelda Odoyo akitoa
mkono wa shukurani kwa ujio wao kwa baadhi ya Wasanii mahiri wa hip
hop hapa Bongo Prof. Jay na Fid Q .
Afisa
Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Bwa.Simalenga akizungumza
machache kwa niaba ya Kampuni na pia kwa wasanii aliombatana nao,katika
suala zima la kukabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo
vyakula kwa kituo hicho mapema leo jioni,kulia kwake ni Mratibu
Msaidizi wa kituo hicho cha Jipe Moyo Center,Bi.Imelda Odoyo na kushoto
ni Mratibu wa kazi za kijamii wa kituo hicho,Bwa.Pantaleo Magesa
Kuyenga.
Mratibu
wa kazi za kijamii wa kituo hicho,Bwa.Pantaleo Magesa Kuyenga
akiwakaribisha vyema baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Clouds Media
Group na Wasanii walioambana nao jioni ya leo,akiwemo Prof Jay,Fid
Q,Chege,Mwasiti,Bibi Cheke,Omy Dimpo,Bob Junior,Roma,Barnaba na
wengineo.
Wasanii
wa muziki wa kizazi kipya,wakiongozwa na mkongwe wa muziki wa
Bongofleva,Prof Jay wakitia saini kitabu cha wakati,mara walipowasili
kwenye kituo cha Jipe Moyo Center jioni ya leo,wasanii hao watatumbuiza
jioni ya leo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,ambapo kesho pia
watakamua kwenye uwanja wa Kambarage,mjini Sinyanga.
Mmoja
wa wasanii anaekuja kwa kasi katika anga ya bongofleva,Ommy Dimpo a.k.a
Pozi kwa Pozi akijitambulisha mbele ya wenyeji,ambapo wageni wote
wakiwamo wasanii walijtambulisha.
Mkongwe kwa umri lakini anakamua vilivyo kwenye anga ya bongofleva,Bibi Cheka nae akijitambulisha mbele ya wenyeji.
Sehemu ya misaada kama inavyoonekana mara baada ya kukabidhiwa kwenye kituo hicho.
Baadhi
ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwasili kwenye kituo cha
kulelea watoto Yatima/waishio katika mazingira magumu kiitwacho Jipe
Moyo Center,kilichopo kata ya Mwisenge,Musoma mjini mkoani Mara.Kampuni
ya Clouds Media Group ikishirikiana na wasanii mbalimbali ambao jioni
ya leo watatumbuiza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,wametoa
msaada wa vitu mbalimbali ikiwemo chakula kwa ajili ya kituo hicho
chenye jumla ya watoto 17 waliopo kituoni hapo.
WACHEZAJI WA CHELSEA WAKIWA MAZOEZINI
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Hizi ni picha za wachezaji wa Chelsea wakiwa mazoezini kujiandaa na mechi yao ya leo na Atletico Madrid kwenye UEFA Super Cup, timu ambayo Fernando Torres aliwahi kuichezea kabla ya kujiunga na Liverpool 2007 na anasema ndio club pekee anayoizimia sana duniani.
Eden Hazard.
Kipa Petr Cech.
.

MH SASA SIJUI NISEME NAMBA 8 AU!
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
SI MCHEZO MTOTO HUYU SWAAAFI KABISA KWA RAHA ZAKE!
YANGA, SIMBA KUTOANA JASHO OKTOBA 3
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Michuano ya Ligi Kuu kuwania ubingwa wa Tanzania Bara kwa msimu wa 2012/2013 itaanza Septemba 15 mwaka huu kwa timu zote 14 kujitupa kwenye viwanja tofauti.
Mechi za ufunguzi zitakuwa kati ya Simba vs African Lyon (Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam), Polisi Morogoro vs Mtibwa Sugar (Jamhuri, Morogoro), Tanzania Prisons vs Yanga (Sokoine, Mbeya), Mgambo JKT vs Coastal Union (Mkwakwani, Tanga), JKT Ruvu vs Ruvu Shooting (Azam Complex, Dar es Salaam), Kagera Sugar vs Azam (Kaitaba, Bukoba) na Toto Africans vs Oljoro JKT (Kirumba, Mwanza).
Mzunguko wa kwanza (first round) utamalizika Novemba 11 mwaka huu ambapo kwenye mzunguko huo mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itachezwa Oktoba 3 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam .
Ligi hiyo itamalizika Mei 18 mwakani kwa mechi kati ya Toto Africans vs Ruvu Shooting (Kirumba), Mgambo JKT vs African Lyon (Mkwakwani), JKT Ruvu vs Mtibwa Sugar (Azam Complex), Tanzania Prisons vs Kagera Sugar (Sokoine), Simba vs Yanga (Uwanja wa Taifa), Oljoro JKT vs Azam (Sheikh Amri Abeid Kaluta) na Polisi Morogoro vs Coastal Union (Jamhuri).
Endapo Simba na Azam hazitafanikiwa kuvuka hatua mojawapo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, ratiba hiyo itafanyiwa marekebisho.
CHECK IT OUT: T-MARC NA BIDHAA MPYA YENYE MUONEKANO WA KIPEKEE
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya Mhe. Seif S Rashid (Mb) (wa pili kulia) akiongea wakati akizindua Kinga ya magonjwa ya zinaa na Ukimwi ya Dume, iliyoandaliwa na taasisi ya T-MARC, chini ya kauli mbiu ya “Mwanaume wa Kweli”.
Mama Alisa Cameron wa (USAID) akitoa hutuba yake kwa umma.
Mkurugenzi Mtendaji wa T-Marc Tanzania Bi. Diana Kisaka akiongea na washiriki wa uzinduzi huo.
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Afya Mhe. Seif S Rashid (Mb) (wa pili kulia) akifuatilia kwa makini hotuba ya mkurugenzi mtendaji wa T-Marc Tanzania.
Sehemu maalum ya wageni waalikwa kuchukua zawadi baada ya uzinduzi huo.
Na Datus Boniface.
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Seif Rashid amesema licha ya jitihada kubwa za serikali kupunguza maambukizi ya Ukimwi lakini bado maambukizi hayo yako juu.
Amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akizindua Kinga ya magonjwa ya zinaa na Ukimwi ya Dume, iliyoandaliwa na taasisi ya T-MARC, chini ya kauli mbiu ya “Mwanaume wa Kweli”.
Waziri amesema kuna haja ya kuongeza elimu kwa Wananchi juu ya matumizi sahihi ya kinga wakati wa kujamiana.
Hata hivyo amewapongeza T-MARC kwa kuweza kutengeza kinga ya kujamiana ya Dume ambayo inaweza kutumika kwa Wananchi wa rika tofauti.
Awali Mkurugenzi Mkuu wa T-MARC Diana Kisaka amesema lengo la kuzindua kinga hiyo ni kuleta ushawishi kwa Wanaume na marafiki wao kutumia kinga.
Ameitaka serikali kuhakikisha kinga zinawafikia Wananchi wote hasa maeneo ya vijijini.

JUST IN: AJALI YA BUGURUNI LEO MCHANA
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
vijana hawa hawatoi msaada bali wanaiba redio
Ni kati ya daladala na gari dogo.naam badala ya watu kusaidia majeruhi kwenye gari dogo watu waliofika kwanza nimeona wakichomoa redio kwenye gari.
vijana hawa hawatoi msaada bali wanaiba redio
Ni kati ya daladala na gari dogo.naam badala ya watu kusaidia majeruhi kwenye gari dogo watu waliofika kwanza nimeona wakichomoa redio kwenye gari.
JAQUELINE WOLPER OUT:- IJUMAA SEXIEST GIRL
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
HUKU wadau wakiwa na shauku kubwa ya kumjua mshindi wa shindano hili la kumsaka staa wa kike mwenye mvuto ambaye hajaolewa ‘The Ijumaa Sexiest Girl’, hatimaye kura za wasomaji zimeamua msanii wa filamu, Jackline Wolper kutoa mkono wa kwaheri.
Mratibu wa shindano hili, Imelda Mtema alisema: “Mtifuano ulikuwa mkali sana na hii ilitokana na ukweli kwamba, wote waliobaki ni wakali kuanzia sura hadi maumbo yao. Wopler ametolewa na sasa kimbembe ni kati ya Wema na Agnes.”
Kufuatia matokeo hayo ya Wolper kuchapa lapa, sasa wanabaki Wema na Agnes ambao watapigiwa kura kwa wiki mbili kabla ya kumpata mshindi. Ili kushiriki katika hatua hii muhimu ya kumpata mshindi, andika jina la mshiriki kisha litume kwenda namba 0786-799120.
global publishers
MUKAMA AHUDHURIA MKUTANO WA 24 WA SOCIALIST INTERNATIONAL
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
KATIBU MKUU WA CCM MHE. WILSON MUKAMA AKIFUATILIA MKUTANO MKUU WA 24 WA SOCIALIST INTERNATIONAL UNAOFANYIKA, CAPE TOWN, AFRIKA YA KUSINI LEO. MKUTANO HUO ULIFUNGULIWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI, MHE. JACOB ZUMA, NA UTAMALIZIKA TAREHE 1/09/2012.
AJALI YA GRADER LEO DAR
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Hii imetokea sasa hivi maeneo ya Mbezi mwisho (Mbezi ya Ubungo) ktk harakati za kupanua barabara kwa ajili ya magari yaendayo kwa kasi, katapira lapiga mweleka. Hakuna aliyeumia
Hii imetokea sasa hivi maeneo ya Mbezi mwisho (Mbezi ya Ubungo) ktk harakati za kupanua barabara kwa ajili ya magari yaendayo kwa kasi, katapira lapiga mweleka. Hakuna aliyeumia
JAMBO FESTIVAL-THE FIRST INTERNATIONAL FESTIVAL FOR ARTS AND CULTURE
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
JAMBO FESTIVAL 2012
THE 1ST ARUSHA INTERNATIONAL FESTIVAL FOR ARTS AND CULTURE
20TH - 28TH OCT 2012
WANANCHI WA ANGOLA KUFANYA UCHAGUZI LEO, TUNAWAOMBEA UISHE KWA AMANI
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Elections are under way in Angola, where long-time President Jose Eduardo dos Santos is expected to easily win another term.
Voters began heading to the polls at 7:00 am local time (0600 UTC) to cast ballots for parliamentarians who will choose the country's president for the next five years.

FOR MORE NEWS PLEASE VISIT VOA NEWS WEB
ONA JINSI MASHABIKI WA YANGA WAFURIKA UWANJA WA NDEGE KUMPOKEA MBUYU TWITE
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Beki mpya wa Mabingwa wa Kombe la Kagame, Dar Young Africans, Mbuyu Twite akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana akitokea Kigali Rwanda na kupata mapokezi makubwa kutoka kwa mashabiki wa soka.
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

ONA FULL STORY YA KUSAKA VIPAJI MISS ILALA JANA USIKU, SI MCHEZO!
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Mapacha wakirusha burudani katika shindano hilo.
TOP 5 ya vipaji Miss Ilala, kutoka kushoto ni Merry Chizi, Stella Morris, Amina Sangawe, Magdalena Munisi na Mectilda Martin baada ya kutangazwa washindi jana Nyumbani Lounge.
mmh...
Majaji wakiwa kazini
MOTO MKUBWA UNAENDELEA KUWAKA SASA HIVI WATEKETEZA MAKAZI, WATU ZAIDI YA 1000 WAHAMISHWA
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Moto mkubwa unaoendelea kuwaka kwa kasi sasa hivi unakaribia mapumziko ya matajiri wa Marbella juu, Costa del Sol, Hispania, na mamlaka husika wameshaanza kuhamisha watu kutoka maeneo hayo. Aidha imeripotiwa kuwa moto huo umeshawaunguza watu wawili vibaya na umesambaa kiasi cha eka 2471. CHANZO BBC
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
DR SLAA AIBUA MAMBO MAZITO KUHUSU WAZIRI SITA
Tweeted this
Like this, be the first of your Friends
Katibu mkuu huyo wa Chadema Taifa Dkt Slaa ameibua mambo mazito juu ya waziri Sitta na serikali yake katika mkutano huo na kueleza mikakati mbali mbali ya Chadema .
Dkt Slaa akiwa katika mkutano wake na wanahabari mkoa wa Iringa katika ukumbi wa Hoteli ya M.R
Katibu mkuu wa Chadema DR. Slaa akionyesha baadhi ya vielelezo kwa wanahabari leo mjini Iringa
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Subscribe to:
Posts (Atom)